Player_logo Podcasts Community Create a Podcast
Yesu Kristo Mwamba
Clean
May 24, 2010 09:35 AM PDT
itunes pic

Yesu Kristo Mwamba – Swahili – Jesus Christ the Rock
Video: http://www.getthegist.net
Kutoka 33:21-22…… Bwana akasema, “Tazama hapa pana mahali karibu nami, nawe utasimama juu ya mwamba kasha itakuwa wakati unapopita utukufu wangu nitakutia katika ufa wa ule mwamba na kukufunika kwa mkono wangu hata nitakapokuwa nipekwisha kupita.”
Maneno haya ya ajabu kutoka Agano la Kale yanasema waziwazi juu ya Yesu Kristo kuwa Mwamba wa wokovu wetu. Tukiiweka imani yetu Kwake, tukisimama katika kweki Yake, tabia Yake na Ubwana Wake, hatutaweza kusikisika.
Maandiko haya hata hivyo, yanasema mengi zaidi ya hayo. Ilikuwa ni pale katika msalaba wa Kalvari ambapo Yesu alitukuzwa....’hebu subiri kidogo’ unaweza kusema, lakini ni kweli. Katika kutoka damu kote pamoja na maumivu yake; katika mapambano makali ya vita ya kiroho, Yesu alitukuzwa.
Msalaba ulikuwa ni mahali pake pa kuvikwa heshima. Yesu hakuvikwa tu kuwa Mfalme wa Wayahudi, bali alivikwa kuwa Mfalme wa Wafalme . Wengine waliweza kuona tu kile kilichokuwa kinatokea katika mwili, lakini wengine kwa macho ya rohoni, waliweza kuona ufunuo wa kilichokuwa kinatokea katika ulimwengu wa kiroho na waliuona utukufu wake (Yohana 17;5.... Na skabla ya ulimwengu kuwako.asa baba, unitukuze mimi pamoja nawe , kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe.)
Yesu alichubuliwa kwa maovu yetu; Mwamba ulipasuliwa kwa ajili yetu. Kila Mkristo aaminiye anao utambulisho wa Kristo. Tumewekwa ndani Yake, Katika michubuko yake akiwa pale msalabani kwa ajili yetu. Tumetiwa muhuri katika Kristo na Mungu na maisha yetu sasa yamefichwa pamoja na Kristo.
Kristo Yesu ameshinda dhambi na mauti na sasa ameketi mkono wa kuume wa Mungu nasi tumeketishwa pamoja naye. Tunaweza kusimama imara katika nafasi yetu ya uhuru na ushindi. Tunaweza kung’ara ndani yake kwa ajili ya utukufu wake.
Asante Yesu, tumeketishwa katika Mwamba wa wokovu. Amina.

Kukwepa Mitego Kimazingaombwe (Escapology) na Kurudi Kwa Yesu Mara ya Pili (Escatology)
Clean
May 18, 2010 02:15 AM PDT
itunes pic

Yesu anarudi mara, usichelewe. Kama Yeye sio bwana na Mwokozi wako, mwombe aingie katika maisha yako leo.

Jesus was Resurrected
Clean
May 07, 2010 03:45 AM PDT
itunes pic

Jesus was not resuscitated, He was resurrected....

Respect
Clean
March 16, 2010 04:28 AM PDT
itunes pic

Enjoy our first Swahili Podcast all about respect (or lack of it) in today's society.....runtime 9:48